MJEDA USIFANYE HIVYO MI NI MDOGO* *____1--2____________________________________* Chapter 1 Mwenzenu leo nilikuwa na furaha mno, nimemaliza mtihani wangu wa kidato cha 4, naenda Dar kwao

rafiki yangu, kuna namna nilikuwa naona kama hakukuchi, ni rafiki yangu wa toka utotoni, tumesoma wote mpaka darasa la saba, familia yao ikahamia Dar, hivyo nina miaka 4 hatujaonana, na familia zetu zilielewana kupitia sisi, tulisababisha wazazi pia wakawa marafiki mno, kwetu nimezaliwa peke yangu, ila rafiki yangu kwao wako watatu kaka zake wawili na yeye,kulikucha nilienda na baba akanikatia ticket ya jioni… Mda ulifika niliwaaga wazazi wangu nikapanda basi kutoka Singida kwenda Dar, nilikuwa na simu ndogo niliwasiliana na rafiki yangu Anna na wazazi wake, walijiandaa kunipokea kwa shauku mno, masaa yalikimbia hatimae Diana nikafika Dar kwa mara ya

Soma zaidi