NI JAMBAZI ILA ANAYAJUA MAHABA πŸ™ˆ♥️ ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ 𝑩𝒖𝒓𝒖𝒅𝒂𝒏 π‘Ίπ’Šπ’Žπ’–π’π’Šπ’›π’Š πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„ Sehemu Ya 39 Alex alikua akisumbua Sana Kumtaja Trisha Na Akili yake Haikua bado sawa

***** Joseph alifika Mpaka Uwanja wa Ndege "Nahitaj Ndege Ya kukodi Naondoka Nahitaj Kufika Kisiwani Muda Huu" Joseph aliongea Huku Anatoa passport zake "Okay Ngoja Nikuunganishe Na mtu Hapa " Yule Dada Wa mapokezi aliinua Simu yake ya Mezani na Kupiga Sehem Wakatu Anaongea Aizack alifika Pale pale na Kutoa Kitambulisho chake kamuonesha Yule Dada Joseph Baada ya Kumuona Aizack Alishtuka hakutegemea Kumuona hapo Anamjua Vizur kwa sababu anamfatilia sana Trisha Na Alimjua Aizack Kwakua alikua karibu sana Na Trisha Na Hata Ile Siku pale Beach alimuona Vizur sana Aizack "Joseph Tafadhali Tunaomba Kuongozana Za Nawewe SΓ sa hivi" Wakat bado

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments