NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 04...5 Basi Ciara alilala chumbani kwa Mike,,,,saa kumi na mbili

NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA   04...5  Basi Ciara alilala chumbani kwa Mike,,,,saa kumi na mbili

juu ya alama alitaka kuamka lakini Mike alimzuia "Kuna baridi endelea kulala" "Kama nisipowahi kuamka nitapatiwa adhabu...." "Nani huyo atakupatia adhabu na huku upo unanipumzisha?" Ciara alikaa kimya, alirudi kulala kifuani kwa Mike. Kwa namna mapigo ya moyo wa Mwanaume huyu yalivyokuwa yanaenda mbio aligundua ni kitu gani anataka. Taratibu alipitisha mkono wake kwenye boksa ya Mike akaanza kuchezea sehemu zake. Mechi ya asubuhi ilipigwa, "Unaweza kuendelea sasa na majukumu yako..." Mike aliongea huku macho yake yakiwa kwenye mchoro wa Ciara Ciara aliondoka akiwa mwenye kujiamini, watumwa wote walianza kunong'ona hasa baada ya kugundua alikuwa chumbani kwa Mike Ile anakata

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments