
Tulipiga story pale baada ya hapo tukaagana tukalala siku iliyofuata Romy aliniomba mimi ndo niende kule hotelin aliko ili tunywe na chai hukohuko.. Nilijiandaa nikaitisha usafiri nikaenda mpaka pale hotelin😝😝😝ni katika ile ile hotel niliyoachishwa kazi na kisa ni huyohuyo Romy.. Baada ya kuingia tu pale hotelin mtu wa kwanza kukutana naye ni meneja yuleeee alonifuta kazi😝😝 alijua nitateseka😝😝😝alijua nitalia lia nimpigie simu nimbembeleze hahaaa Alinikata jicho baya hatari mi hata sikujali tulibaki tunamcheka tu na Romy😝 hata sikutaka kunywa breakfast pale😒😒nilimwambia Romy tukanywe chai sehemu Ingine... Tulitoka zetu tukaenda kunywa chai sehemu ingine baada ya hapo tukaanza kupanga mikakati
0 Comments