
uliunguruma taratibu ukichanganyika na sauti za watu waliokuwa wakicheka na kuzungumza huku taa za rangi zikimetameta. Amina alikaa pembeni ya meza, akihisi moyo wake unadunda kwa wasiwasi. Siku hiyo hakuwa ametaka hata kutoka nje… lakini dada yake wa kambo, Lulu, alimshawishi kwa nguvu. “Njoo tucheze, angalau uchangamke kidogo,” Lulu alimwambia kwa tabasamu la kinafiki. Lakini Amina hakujua Lulu alikuwa na mpango wake mchafu… Baada ya muda, glasi ya kinywaji mbele yake ilianza kumzungusha kichwa. Alijaribu kusimama, lakini alihisi Dunia ikizunguka. “Lulu… kwa nini nahisi hivi?” aliuliza kwa sauti dhaifu. “Shhh… utakuwa poa tu baada ya muda, Amina. Ngoja nikusaidie,” Lulu
0 Comments