❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya kwanza.  Mke wangu amka basi ukaniweke maji nioge nataka niwai kazini.  " Nenda tu chooni maji yapo tayali nishamtumia sms hawa kashaweka maji tayali.

" Samahani mke wangu hawa ni mtoto tu humu ndani kazi zake zipo sio kuniwekea mimi maji Jana nimeona umempa nguo zangu afue nikajua unaumwa labla Leo unamwambia akaweke maji. " Mume wangu angekuwa mtoto wa mtu Sawa ni mwanangu kwanini niogope kumtuma mwanangu. " Kwaiyo ni mwanao. " Ndio mwanangu. ( Neno lilimuuzi sana mumewe...mama hawa amesisitiza ni mwanawe na ndio maana limetokea jina la simulizi mtoto wa mke wangu....karibu sana usome simulizi hii ni chombezo kama kawaida chombezo ni burudani yenye ujumbe na kusisimua mwili na akili...Samahani kwa wale wateja wangu napenda kuwafahamisha nimebadili namba ya MALIPO...zamani ilikuwa

Soma zaidi