BETWEEN SISTER AND SECRETS* *1---2* *_______________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Mia Charles ni mzaliwa wa Muheza. Katika familia yake wamezaliwa mabinti wawili, Mia akiwa wa pili

BETWEEN SISTER AND SECRETS* *1---2* *_______________________________________*  *SEHEMU YA KWANZA*  Mia Charles ni mzaliwa wa Muheza. Katika familia yake wamezaliwa mabinti wawili, Mia akiwa wa pili

na dada yake Mira ambaye yeye ni wa kwanza kuzaliwa. Wamelelewa katika familia ya mzazi mmoja, yani walilelewa na baba pekee; hawakuwa na mama. Mama yao aliwatoka walipokuwa wadogo sana, hata taswira yake hawakuijua zaidi ya kuona picha zake za zamani sana. Kipindi mama yao anafariki, Mira alikuwa na miaka mitatu na Mia alikuwa na mwaka mmoja. Baba yao alifanya juu chini kuwapa mapenzi yote binti zake. Aliwalea kwa upendo mno huku akisaidiwa na majirani walioishi kama ndugu. Kuna wakati walimshauri aoe mke mwingine atakayemsaidia kulea watoto, lakini baba yao alikataa kata kata kuoa mke mwingine. Mzee Charles alikuwa akiishi

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments