
Kadri siku zinavyozidi kwenda mapenzi yalikuwa yakiendelea kunoga kati ya Kamila na Abby. Mara nyingi walipenda kuwa pamoja pia ilipoishia muda wa kazi kamila alienda kumpitia walirudi pamoja nyumbani. Walionekana ni watu wa furaha muda wote. Japo kuwa abby alikuwa bado hajasema kwenye maisha yake ila kuna wakati alikuwa alinunua zawadi ndogo ndogo na kumpelekea Kamila . Hiyo ilimfanya Kamila ajione ana thamani maana kwa kijo hakuwahi kupelekewa hata apple la shilingi 1000. Kamila alikuwa na amani ndani yake, akahisi maisha yake yamepata mtu sahihi ambae alikuwa akimuita ni siku zote. Abby alikuwa akibadilika taratibu sasa alikuwa mwanaume mwenye majukumu,
0 Comments