
Licha ya suzan kulalamika lakini marafiki zake bado walimpa ushauri wa kukubali na kumuona ana bahati sana. " ujue ni neema hiyo isipige teke bahati. " Sitaki huo ushauri wenu wa kunipotezea kama kuna mtu anatamani huyo nafasi basi nitamuunganisha nae niutue huu mzigo. Siku hiyo Suzan hakuwa na amani hakuwa makini darasani , hakuwa anaelewa alichokuwa anafundishwa . Kuna muda Suzan alitoka na wenzie kwaajili ya kwenda kupata chakula . Walienda kwenye mgahawa mmoja ambao upo karibu na chuo kila mmoja akaagiza chakula wakaanza kula huku wakipiga story lakini suzan alikuwa mbali kimawazo kuna neno alilokuwa ametamka Victor lilikuwa
0 Comments