
Nilienda kumfungulia ilikuwa saa 6 usiku, aliingia akatoa mkoti, akatupia kwenye sofa nakudai ananjaa, nilimtizama, huwa ninatabia ya kuwa na mkate wa emergence kwa ajili ya wageni wa ghafra na haraka, ila nikawaza uyu ni mwanaume na saivi niusiku, acha tu nimpikie,niliingia jikoni nikapika, ugari na dagaa,alikula hakubakiza hata punje, alionekana kama alikuwa na njaa sana, alivyomaliza kula,akanawa akakaa nikaona hajanywa maji na mimi nina sheria mtu akila lazima anywe maji, nikammiminia maji nakumpa akashangaa "sijaomba maji" ,najua ila umekula ili chakula kifanye kazi vizuli lazima utumie na maji ya kutosha,akataka kugoma, nikamlazimisha.. Alikunywa uku analalamika, alivyomaliza nikahisi kaja na
0 Comments