
Maria alishituka na kuhusu moyo wake kulipuka. " Maria Arshan aliita " Hivi ni kweli ni wewe? Arshan akicheka kisha akasema " Usiniambie kama humkumbuki shemeji yako. " Hebu tuache utani wewe ni Arshan? " Ndio Maria. Arshan Omary kijana wa pekee wa mr king na mmiliki wa kampuni ya Arsh entertainment na Arshamel building. " Mungu wangu , mbona kama nipo ndotoni? " Hahahaha pole. Hatimae walifika Arshan na mwenzie walitoka na kumuacha Maria bado kasimama ndani ya lifti. Baada ya muda Maria alifika ofisini kwa Jimmy akirusha pochi yake mezani kisha akashuka paji la uso wake. " Jimmy
0 Comments