BINAMU MWENZAKO NAISHIWA PAWA NOTE: ina maudhui ya watu wazima kuwa mwangalifu EPISODE 7

BINAMU MWENZAKO NAISHIWA PAWA  NOTE: ina maudhui ya watu wazima kuwa mwangalifu     EPISODE 7

Basi nilishtuka baada ya shangazi kuniambia vile ni kweli chini ya sakafu ilikuwepo kanga ya juliet na sijuwi kwanini nilisahau kuweka vizuri kipindi ameingia ndani .Juliet alikuwa na mawazo sio powa nilimtazama kwa nyuma alikuwa anaficha miguu nyuma ya pazia lililokuwa chumbani kwangu.kichwa kinachanganua nifanye nini ili niweze kuchomoka kwenye huu msala maana mambo yadhakuwa magumu na sina cha kujitetea kweli ile ni kanga ya juliet sio uongo kwa sababu yeye ndie aliyemnunulia " Unajua shangazi taulo langu lilikuwa bichi hivyo nikamuomba juliet aniazime kanga yake nijifutie sasa kipindi naingia ndani niliianfusha kwa bahati mbaya tena umenikumbusha ngoja akirudi nitampa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments