
πΊπππππππ:....: "" Naitwq jane ni mtoto wa kwanza kwenye familia yq watoto wawiliii ,nna kadogo kangu hako kanaitwa adasaa kapo boarding kanasoma form five huko tabora girls huku dada ake nikiwa dar kariakoo napambana na kuuza simu maana shule nilikuwa apeche aloloππ"" Basi siku moja nikiwa kwenye biashara yangu nikapata wateja watatu yaan wakaka wawili na mdada mmoja,nilifurahi kwl hio siku maana walishuka kwenye gari kali nikajua hapa kuuza lazimaa Habari dada??salama karibuni sanaa mkaka aliyeonekana mkubwa kuliko wote alinisalimiaa na mm sikusita kumuitikia Karibuni vipenzi vyangu mnahitaji nn vipenzi kama kawaida yangu niliwaongelesha vzr wateja wangu,asante sana dada ngj
0 Comments