
Hatimaye muda wa maandalizi ya harusi umefika walitoka kwenda kutafuta shera ya harusi mapambo nakila kitu na yeye aliandaa kwa upande wake suti na viatu Hivyo walifuatilia ukumbi Siku ya harusi ukumbi ulikuwa mkubwa pia watu waliokuja walikuwa weengi biharusi alipelekwa saruni kupambwa akiwa na msindikizaji wake walipambwa vizuri sana bwanaharusi pia alikuwa saruni ya wanaume Wakati biaharusi anachukuliwa apelekwe kanisani alichukuliwa nakupelekwa kwengine alienda kukutana na Fred bila hidhini yake aliuliza kwanini dereva umefanya hivi deleva alikaa kimya Fred alimfungulua mlango Vanessa na kumwambia njoo tufunge ndoa kipenzi changu kwani nilikuwa nakusubili muda sana Vanessa alikasilika na kumwambia Fred
0 Comments