NI WANGU PEKEANGU epsd 20

NI WANGU PEKEANGU epsd 20

Waliingia maharusi kisha walifunga ndoa na kuelekea kupiga picha baada ya picha walienda ukumbini watu walifurahi sana harusi ilikuwa kubwa yenyekufana nakupendeza Franco na Vanessa walipendeza sana Vanessa alikuwa anadeka sana kwa Franco hakika na Franco pia alimdekeza kimahaba Vanessa Harusi ilipoisha Franco alimchukuwa mkewe na kuenda nae hanimun zanziba walikaahuko siku saba na kisha waliludi nyumbani kwa kina Franco kwa muda wajiandae wakatafute nyumba yawao wawili walikuwa na mahaba pale ndani kanakwamba nimgeni huyo Vanessa alikuwa muda woote yupo begani mwa Franco hakutaka kuwapa nafasi watu wakae nae hivyo alimkip bize sana nakazini wanaenda wote walifanikiwa kupata nyumba na

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments