
Walifirahi mnoo wazazi wa Vanessa sana walimpenda mnoo Franco walianza maandalizi ya harusi ya mrembo wao kwani furaha ya mtotowao ndio furaha kubwa sana kwao Franco nae alikuwa nimwenye furaha sana aliwaambia nyumbani sikusionyingi naenda kufungandoa na Vanessa hivyo tujiandae Mama pamoja na Erica walimwambia sawa tutafanya maandalizi waambie na wadogozako Alimwambia mama hamna tatizo nitawaambia woote kuwa na amani Aliwasubili walipotoka makazini kwao Fred na France aliomba kuzungumza nao waliitika na kumsikiliza Franco alianza pamoja na kuwa nimekukosea Fred natumai utanisamehe kwa hili kwani tayari nimesha kosea hivyo wewe ninduguyangu utaendelea kuwa nduguyangu hata itokee nini Fred alitulia akamwambi
0 Comments