NIPE YOTE DADY SEHEMU YA 50

Sherehe ilivurugika watu wakachanganyikiwa bwana harusi akanifuata na kuniambia "mke wangu yuko wapi?" nilimuangalia kwa sekunde kadhaa na kujibu' "samahani nahisi kama sijakusikia vizuri unasema ?" "Nakuuliza mke wangu yuko wapi maana wewe na team yako mlikuwa nae mda wote iweje apotee ghafla ?" "We kweli chenga kwahiyo unataka kusema tumemtorosha au vp" "ndio maana yake Naira hawezi kutoroka mwenyewe nyie nyote mnahusika sasa nikiwa kama mume wake halali nasema hivi namta mke wangu sasahivi " Nilikucha mikono yangu na kumuangalia chini mpaka juu kisha nikamjibu" Siku zote nilikuwa nakuheshimu nikijua unaakili kumbe nilikuwa nakosea, kwahiyo umesimama hapa na mtumbo

Soma zaidi