
Kabla Bryan hajaanza kuongea Maria alianza kujitetea. " Lakini ulinielewa vibaya Mimi sikuwa na maana uliyofikiria...... Jordan valifika walipokuwa wamesimama " Bryan Kuna Nini? " Hakuna kitu unaweza ukaenda. " Huyu dada anahitajika ndani kwenda kuhudumia watu. " Na Mimi Nina maongezi nae. " Kumbuka hapa ameajiriwa usiniharibie kibarua chake ingekuwa vizuri Kama ungemtafuta baada ya kazi. Dada unaweza kwenda kuendelea na kazi yako. Maria aliondoka huku akimshukuru "Asante Mungu wangu kwakuniletea huyu malaika la sivyo sijui Lile jitu lingenifabya Nini Mimi. Kabla ya sherehe haijaisha Bryan aliamua kuondoka . Kesho take alipofika kazini alimuita zakia ofisini kwake. " Nataka
0 Comments