
Nilimuacha Lewis pale nje nikaingia ndani moja kwa moja nilielekea chumbani kwangu...Nilipofika chumbani kwangu nilikuta msg kutoka kwa dady Henry nilipoifungua alikuwa ananiambia Lisa samahani natoka kidogo naenda duka la dawa maramoja naenda kuchukuwa dawa Mfanyakazi wangu nimemkuta anaumwa anahoma kali sana ungekuwa sio mtoto ningekuomba utoke tuende wote Au unaonaje twende unipe kampani kama haitokuwa shida nyumbani?? Nilipoziona hizo msg nilivurugwa arafu kanikuta nje atahisi nini jamani dah Nilichukia sana aisee huwezi amini nilibaki nikijilaumutuu Nikaona nibora nimpigie kwani sijui kanielewaje ila liwalo liwe vyovyote Nilimpigia sim dady Henry na akapokea Akaniitikia haloo Lisa Nilijibu haloo dady Henry Henry
0 Comments