
Nilipokea chocolate zangu nikaonyesha tabasamu fulani hivi kama mnavoniona hapo kwenye picha🥰nilimshukuru mubaba nikamwambia asante kwa chocolate Akajibu karibu mimi napenda mvinyo sikumoja moja au unautumia nawewe Nilicheka tuu kwani nilijua ananitania Akaniambia wewe bado mdogo sana usinywe sawa Lisa Nilimjibu sawa kisha aliwasha gari na kuondoka tulifika maeneo ya nyumbani akapaki getini kwake na mimi nilishuka Akaniambia Lisa marafiki Nilimjibu marafiki kisha nilienda getini kwetu na kugonga mlinzi akanifungulia Nikaingia lakini moyo wangu haujakubali kumuacha aende natamani niende nae ila sizani kama anajua hilo niliingia ndani Nakisha nilienda chumbani kwangu nikaingia kuoga kisha nilipotoka nikavaa dera langu nikawa nimejikalia
0 Comments