PENZI LA MUBABA ❣️ 5

PENZI LA MUBABA ❣️ 5

Siku wakijua kuwa kinachonisumbua ni hu🥺ba la mubaba na msongo wa mawazo wa kupenda mtu mzima na sijui jinsi ya kumwelezea juu ya hsia zangu Kibaya zaidi ananichukulia kama mtoto wake au rafiki yake nitajaribu kumfanya aone lakini sijui kama ataelewa kwa haraka Nilikunywa chai na kisha nilienda zangu chumbani kufanya kazi zangu Wakati nikiwa bize na kazi zangu za kusafisha chumba changu nilisikia sim yangu inaita Nikaenda kuipokea alikuwa ni Lewis nikamuuliza habari Lewis Alijibu sarama vipi hali yako Nilimjibu nzuri ehee niambie Aliniuliza vipi naweza kutoka nawewe leo Nilimjibu hapana ninakazi nyingi zakufanya Lewis akapaniki na kuanza kunishambulia

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments