POOR RICHMAN * (Alijifanya amefirisika na Kuwa Masikini ili kuwajua wanafiki kwenye Maisha Ya  Sehemu Ya 19  Mr Jovin akiwa kwenye Hali mbaya alimpata keivo maelezo ya wapi waelekee ambako anaweza kupata

msaada, Japo maelezo ya Mr Jovin yalikuwa hayasikiki vizuri kutokana na Hali Yake ila keivo alielewa vyema!. Basi wawili Wale safari ilianza, ilikuwa ni safari ndefu kidogo ambayo ilichukua masaa kadhaa, Japo kuwa keivo alikuwa Siyo mtaalamu Kihivyo kuendesha Gari, ila Siku hiyo aliendesha mpaka Yeye mwenyewe alijishangaa!. Basi ilikuwa ni kijijini ambako Mr Jovin amewahi kuishi enzi za utoto wake ndo Huko walikuwa wameelekea kwa Moja ya mtaalamu!. Keivo aliuliza Jina la mtaalamu huyo Maana alikuwa katajiwa na Jovin, Muda huo Jovin alikuwa amekata Moto, ilikuwa haieleweki amekufa au yupo hai!. Keivo alifanikiwa kufika pale kwa mtaalamu na kweli

Soma zaidi