NI JAMBAZI ILA ANAYAJUA MAHABA πŸ™ˆ♥ ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ 𝑩𝒖𝒓𝒖𝒅𝒂𝒏 π‘Ίπ’Šπ’Žπ’–π’π’Šπ’›π’Š πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„ :: SEHEM YA 40 Joseph Akiwa Anatoa story Kuhusu yeye kujuana Na Alex Simu

yake Ilikua Ikiita Sana Mwisho uliingia Ujumbe Na alitoa simu Alishtuka Na Kuacha Kuendelea Kuongea "Hivyo ndo nilivyo juana Mie na Alex Mpaka Alipo nitafuta Yeye Nimsaidie kwa Ajili ya Huyu bint sikusita Naombaa Niende " Joseph aliongea Huku anainuka Akiwa kama Mtu Mwenye Haraka Sana Na Jambo Fulani Aizack aliwah Kuzuia "hatujamaliza Unataka Kuondoka Alex Yupo wapi?" "Nitakuja Siku Ingine ya Kukupeleka Nilipo hifadhi mwili wake Trisha Please naomba Uniruhusu Niende nimuhimu sana Mimi kuwa Pale " Joseph hakumjibu Aizack badala Yake Alimfata Trisha na Kumuambia kwa Ukaribu sana Huku kamkazia Macho "SΓ wa" Trisha alikubali Na Kumruhusu joseph aende

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments