
alikuwa akishuhurika na wenzake kufanya maandalizi kwaajili ya kumpokea ceo wa hiyo kampuni kuja kuangalia kampuni yake mpya ilifunguliwa miezi mitatu iliyopita. Baada ya maandalizi watu wote walikaal pembeni kumsubiri mgeni rasmi ambae watu wengi hawakuwa wakimjua. Jamani kila mtu akae kwenye nafasi mgeni mgeni rasmi amefika magari yameanza kuingizana huko. Alisema msichana mmoja anayeitwa Amina na kila mmoja alienda kukaa kwenye nafasi yake. Salsa alipokuwa anaenda kwenye sehemu yake aliitwa. "Salsa hebu katoe kile kikopo cha rangi pale. Salsa alienda kuchukua bakuri ya rangi ambayo ilikuwa inatumika kucholea michoro na maandishi ya kumkaribisha mgeni. Wakati anarudi kwa haraka alijikuta
0 Comments