SIKUJUA LECTURER NI MJEDA 7

Sikutaka hata kuongea na mama na nilijua fika kuwa anahisi kuwa sipo sawa, ila akaniacha akaona ajiaminishe maneno ya kelvin tu, maana aliamin mpaka mwanaume anapata ujasiri wa kuja nyumbani, ni dhahiri kuwa alikuwa anajiamini kuhusu mimi, maana anawajua wanaume wa karnr hii, huenda kweli mimi ndio nilikuwa nazingua na sio mwanaume.. Niliingia chumban na kuanza kulia, hio siku ndio siku ambayo n mbaya zaidi kwenye maisha yangu, siku ambayo sitaman ijirudie hata kidogo, nilitafakar sana kuhusu hatma yangu, sikujua hata natakiwa kufanya nini, kila kitu kilikuwa kimetokea ndani ya muda mfupi sana, sikutegemea kabisa kama kuna jambo lolote lingetokea

Soma zaidi