MY FOREVER MAN 💘13

MY FOREVER MAN 💘13

Kamila alienda kukaa kitandani huku akiwa ameshika ile karatasi, macho yake yalikuwa na hofu ,Maneno yale machache lakini yenye sumu kali yalikuwa yanazunguka akilini mwake bila kupumzika. "Unaemuita mwanaume wako, Abby sio yule unayemfikiria…" Alishika kifua kwa mshtuko. “Hapana Abby siyo mtu wa kunificha siri. Lakini hii bahasha imefika vipi ndani ya chumba changu? Ni nani anayeweza kuingiza kitu chumbani kwangu bila mimi kujua?” Akiwa anajiuliza hayo maswali mlango ulifunguliwa akawahi kuificha ile karatasi chini ya mto wake. " Nilijua umeshalala. " Bado ndio nilikuwa nataka kulala. " Najua huwezi kulala bila uwepo wangu. Wote walipanda kitandani wakalala. Usiku ule

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments