
Na leo kwakweli sijui kama kutakucha na hii njaa niliyonayo, alivyosema tu ivo nikashtuka, njaa tena, mmh,nikamwambia Amir naomba uniache mimi siko sawa, " kuna siku umeshawahi kuwa sawa mke wangu? Hujawai kuwa sawa, yani wewe huwa kila siku hauko sawa hilo nakijua, sasa siwezi kusubuli kitu ambacho hakiwezekani kutokea, wewe toka ata ya ugomvi huwa unamaelezo ya hauko sawa, au nakusingizia?.. Amir naomba tuongee serious, ukweli naomba usijekunifanyia chochote mimi nataka mme wangu tu ndo aje kuwa huru, " kwani mimi ninani yako? Amir kuwa muelewa basi, wewe muda wowote tunaachana ni swala la muda tu, mimi uke wenza
0 Comments