
...Mimi na Riziki tukawa na wasiwasi sababu ule mtumbwi tunafahamu kwamba ulishapotea, na tupo kwenye mpango wa kulipa.! tukawa tunashangaa huu mtumbwi ulikuwa umepotea lakini inakuwa vipi leo tunaukuta hapa! kwakweli tulibaki tumeduwaa,mbaya zaidi ndio mtumbwi ambao tumeambiwa tuuchukuwe na kwenda nao baharini kwenda kuvua samaki. Bwana mmoja ambaye tulikuwa nae alikuwa anaitwa Goma; na ndiye kiongozi wetu, yule bwana Goma akachukuwa ule mtumbwi ambao una tabia ya kupotea, kisha tukaisogeza mitumbwi kwa pamoja hadi kwenye maji kina cha usawa wa mapaja, kisha yule bwana Goma ambaye ni kiongozi wetu akaniambia nitapanda,nae kwenye ule mtumbwi wa kupotea, nikakataa lakini yule
0 Comments