
Naitwa Abishek au kwa kifupi Abby, Ni kijana mwenye umri zaidi ya miaka ishirini, nikijitegemea kimaisha na kwa bahati nzuri nilibahatika kushinda pesa mamilioni kadhaa kwenye bahati nasibu zilizoniwezesha kufungua biashara yangu na kununua gari dogo la kutembelea, zikibadilisha maisha yangu ambayo hapo awali yalikuwa ya kuunga unga. Nilikumbwa na tatizo ambalo sikujua lilisababishwa na nini, lakini tatizo kubwa sana ambalo mara kadhaa lilinifanya niaibike hata mbele za watu ambao walinishangaa kwa matendo yangu ambayo hayakuwa ya kawaida, ni kawaida kabisa kwa kijana wa kiume aliyekamilika kimwili (rijali) kugeuka kumtazama mwanamke mwenye matako makubwa pindi anapopishana nae na hili limezoeleka
0 Comments