Siri Ya Mvuvi Na Bahari lakini huo ulikuwa ni mpango wa wizi... Inaendelea... Sehemu Ya 02

Siri Ya Mvuvi Na Bahari  lakini huo ulikuwa ni mpango wa wizi...  Inaendelea... Sehemu Ya 02

...wakatupatia na sisi kama tulivyoelewa asubuh sisi tulitafuta mteja na kuuza wale samaki kisha tukapata pesa, tukaendelea na ulinzi tukamaliza mwenzi mmoja bila shida wala hasara, tukauanza mwezi unaofuata ambao ni mwezi wa pili tukiwa kazini, wale jamaa ambao tulifanyanao dili mara ya kwanza wakawa wamekuja tena, kwakuwa mara ya kwanza tulifanyanao dili na mambo yakaenda vizuri, wakaja tena kwa mara ya pili kuja kuchukuwa mitumbwi ili wakavue samaki, tukawauliza kuhusu hali ya hewa wakasema wao ni wataalamu na wazoefu wa baharini, tukawapa mitumbwi miwili kama kawaida na malipo ni baada ya wao kutoka baharini, Wale jamaa waliingia baharini, lakini

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments