WAKILI HUCHOKI JAMANI❤ EP 13...14

Nilikuwa mkimya mpaka akashangaa, mbona leo umepoa sana, sijakuzoea hivyo ety, nilifunika macho na mikono tukakaa kwenye viti, kwa jinsi nilivyokuwa na furaha, niliogopa ata kuongea, nilihitaji kwanza kutuliza ile furaha, nisije nikaongea vitu vya ajabu bila kujua,niliamua kumlalia tu mapajani, aliniweka vizuri akawa ananiongelea sikio, lile joto la mdomo, nikaona kabisa linanivuruga nikainuka, nilikuwa hoi, alivyonitizama tu mwenyewe akajiongeza, akaniuliza tu, "hatuwezi fanya mbinu tuondoke wote? Ilibidi tu nicheke, nikajibu leo haiwezekani ninahitaji kutulia kwanza nyumbani kidogo, alinitizama sana, mpaka ujasiri wa kutizamana nae ukaniisha, na sio kawaida yangu huwa namkazia sana.. Alisema dah leo nimepata kitu kingine cha

Soma zaidi