KICHAA NA MIMBA YA BOSS SEHEMU YA NANE*

KICHAA NA MIMBA YA BOSS SEHEMU YA NANE*

Doctor hakumuangalia mama Farida Jinsi alivyokuwa ametahayari na wakati huo Shania alikuwa haelewi chochote alitulia huku akiwa anaangalia mamcho pale ndani. "Pole sana mama. Hili limeshatokea hauna budi kilipokea. Asante baba Mama Farida alimuangalia Shania kwa jicho la huruma alitamani kuongea nae kitu lakini alijua ni kazi bure hataweza kupata majibu ya maswali yake. Alimshika mkono Shania wakatoka chumba cha daktari na kurudi nyumbani. Walifika nyumbani wakafikia nje kwenye kimvuli cha mti. "Vipi mama mbona imechoka hivyo?. Farida mwanangu ni haki nichoke kwa hilo. lililonifika. Farida alitaka kukaa lakini mama yake akamzuia. "Usikae kwanza, ingia ndani kaniletea maji ya kunywa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments