
Suzan alijikaza kitandani akawa anakumbuka matukio ya hotelini, alikumbuka jinsi jinsi Victor alivyomnyanyua na alikuwa akisikia karadhi yake mazuri, akamweka kitandani na jinsi alivyokuwa anaogopa akajikuta anacheka huku akiona aibu. " Kweli nimekuta futa na nimeliona na haya yote ni malipo ya nusu la hadharani aiseeeee nimekoma. Kwa upande wa Victor alionekana kuwa na wasiwasi sana alihisi kuna kitu hakipo sawa kwa upande wa suzan alijitahidi sana kupiga simu lakini haikupatikana. Kesho yake Victor hakwenda kumchukua suzan alipanda pikipiki mpaka chuo . Wakati anaelekea darasani alikutana na James . " Mambo " Safi. " Mbona jana hukujubu messege zangu na
0 Comments