
SEHEMU YA 9 Maya alikuwa akimuangalia moja kwa moja aliona macho ya kuanza yamekuwa jekundu na uso wake ulikuwa wa huzuni. " Unajua kuna muda nilijiona mwenye kubarikiwa na kuwa na kila kitu. Maisha mazuri, pesa kiasi, mwanamke mrembo na mtoto wa kike mzuri lakini mambo yalikuja kubadilika kwa siku moja tu. " Aliachana au walifariki? " Bora wangefariki ningelia ,ningezika, na kumshukuru Mungu maana hakuna atakae ishi milele kwenye huu ulimwengu. " Sasa mimi kilitokea? " Mke wangu aliolewa na mwanaume mwingine . " Inawezekana vipi mke wako aolewe na mwanaume mwingine kwani ulimuacha? " Sikuwahi kumuacha wala kugombana
0 Comments