
Sehemu ya..kwanza. ( Wale mashabiki wa buza goma lenu hili njoo ununue) Dada tuhamie kwenye nyumba yenye wanawake wengi. " Yani nahama Hapa kwa sababu ya wanawake nikahamie tena nyumba yenye wanawake wengi siwezi mdogo wangu kwanza tupishe nina maongezi na shoga yangu. " Sawa dada. ( Naitwa asha...karibu kwenye simulizi hii ila chonde chonde kama sio shabiki wa chombezo usisome simulizi hii maana imebeba maudhui yote mabaya tahadhari muhimu maana likizo hii simu usije kumwachia mwanao ikamwaribu akajaribu yaliyomo...wakubwa twende zetu...nakaa na dada yangu dar sehemu moja temeke mwisho...sasa dada anataka kuhama kwa sababu wanawake humu wana mdomo sana
0 Comments