HARUSI YA MKE WANGU SEHEMU YA 8

HARUSI YA MKE WANGU  SEHEMU YA 8

Siku moja LIAM alitoka kazini mapema sana. " Msosi upo tayari wewe binti wa chuga? LIAM aliongea kama utani. " Sasa napikaje wakati nilikwambia mazaga yameisha hapa ndani. LIAM alishika kichwa na kusema " Ayaaaaaa... Unajua nilisahau kabisa. " Usiwaze msosi upo tayari nenda itabadili nguo uje ule. " Wewe mtoto umepokea nini sasa? " Nimepika pilau lenye nyama nyingi huo si ndio ugonjwa wako. "Wewe umepata wapi hela ya kununua nyama wakati hakukuwa na chochote kwenye friji? Angalia usije ukanilisha haramu wewe mtoto. " Mmmh... Maya aligua kisha anatabasamu . " Unajua sisi watu wa Arusha wajanja sana alafu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments