
Mwandishi; LISSA WA BAHARI (HB) Japo vyeti alininyima lakini naona maneno yangu yalimuungia sijuh alifatilia au vp nashangaa bada ya week 2 kanipigia nikafate vyeti vyangu kweli nikaenda akanipa baada ya mda tena akanza kunipigia ananipiga mikwara niseme upo wap ameniandama sana nikawa namwambia mm sijuh akawa mpka anatuma watu wanifatilie kumbe mm sikuwa najua ulipo kweli Kuna siku kaomba kuonana na mm nikakubali asee iyo siku tajeed kalia mpka nimeshangaa jamani et ananiomba msamaha nimlete kwako muongee amejua ukweli yani nilichoka mm nikabaki kumbembeleza na kumwambia kuwa ni kweli mm sijuh naona alijihakikishia kweli juu ya kilichotokea sijuh ndo
0 Comments