
Mwandishi; LISSA WA BAHARI (HB) Kweli zai akanmbia ashapabda basi na ameanza safar ya kuja dar ikabid niongee na tameer sasa kuwa nna mgeni kidogo mana nimekalibishwa tu siwez leta mgeni mwenye nyumba hajui , nikaongea nae tameer akakubali akanmbia usiwe na shaka kabisaa munira apa ni kwako fanya unavyotaka ww kipenzi changuu nikasema sawa honey tushazoea kuitana majina ya mahaba mpka akawa ananambia aah sitaki uniite hvo bna mtu mwenyewe unanibania sana nikawa nacheka tu Kweli mchana zai akapiga simu kafika stand mbez tukamfate kweli mm na tameer tulimfata iyo siku alikuwepo ilikuwa week end ya j pili, nilivyonana
0 Comments