
Mwandishi; LISSA WA BAHARI (HB) Nikasema tajeeed , nikawaza chapu kuwa zai kamwambia nipo hapa ndo kaja ama imekuajee, tameer akasema brooo unamjua munira kumbe nikadakia nikasema yaaa lazima anijue mi nimesoma udom alikua mwalimu wangu ,tameer akasema ooh baby kumbe ulikuwa udom pale basi umefundishwa na shemeji yako njoo mpenzi akanishika mkono mm miguuu unagongana sielwe ata Nikafika mpka pale nikakaa na tameer kaja kakaa kalibu yangu nikaona tajeed kama kachanganikiwa haelewi kabisa akasema tameer uyu ndo mwanamke wako ulosema unaishi nae apa,tameer akasema yes ni mwamake wangu kaka na nataka kumuoa soon , akasema una mda nae gani
0 Comments