MZUNGU TULIA MOYO HAUNA RANGI part 2 to 3

SEHEMU YA 2 Hata mi sikujali kwanza niikuwa natamani nimmeze huyo mdada... Na vile tunalingana mwili sasa. Aliyetustopisha alishuka taratibu kisha sasa yule mdada akawa anamfuata huku akilia kwa sauti ya chini... " Nini shida?" aliuliza kijana huyo ambaye, alikuwa na rangi kama ya huyo binti, pia alionekana kuwa serious sana kuliko kawaida🙁. "Nimemuuliza tu wewe ni nani, akataka kuninyang'anya kikombe cha chai huku akisema ananjaa ndio ikammwagikia... Sasa nashangaa anaanza kunitukana eti mimi nilimwagia makusudi," kibinti hiko kilisema huku kikiendelea kulia kifuani mwa kijana huyo ambaye, hakushughulika na kumbembeleza hata. "Nani kaja na huyu binti?" aliuliza na kufanya wafanyakazi

Soma zaidi