MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 8

MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 8

“ umefanya nini wewe, mbona umenibusu, ikabidi nimuulize Feisal .. “ mbona nabil amekutamkia maneno yake ya ajabu na haujahoji, sasa mimi kukubusu kuna shida gani ? usijali sisi ni marafiki ambao tutatengeneza nguzo za mapenzi taratibu, akajibu Feisal Kwa upande wa nabil sasa alikuwa anahisi kupasuka, moyo ulikuwa una muuma kupita kiasi cha kawaida, akawa anataka kuja tulipo ila akawa anaona aibu, akawa anazunguka zunguka tu, anawaza anitumie sms au aachane na mimi… Chakula hakiliki, na kitu na kitanda kilikuwa kama kimemwagiwa misumari ya moto, vocation ikageuka connection, yaan akawa atulii, mara aende kwenye gari kana kwamba anataka kuondoka

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments