MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 17

MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 17

Nikasimama na kumsalimia kwa heshima, na mume wangu aliuona wasiwasi wangu, akaniangalia kisha akatabasamu na kusema, “Najua hamjawah kukutana na mke wangu kipenzi, Happiness hii ndio familia yangu, na wazaz wangu walipata bahati ya kuwa na watoto wawili tu wa kiume mimi Erick na mdogo wangu Fredrick , na huyu hapa mbele yako ndio Fredrick na hawa ndio wazaz wangu… Tusamehe kama familia, maana ni aibu kusimulia mambo mengine ila nakupenda sana mke wangu, na familia yangu yote inajua, mpaka mzee wangu kuamua kuchukua jukum la kwenda kuposa na kuoa kwa niaba yangu haikuwah kuwa kazi rahisi, kabisa, nashindwa kukusimulia

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments