
Mwandishi;lissa mwalla Sijui nini kilinipata lkn nilikua sijitambui kabisa sikuelewa nini kimeendelea kabisa eneo lile,nilikuja shtuka niko na mama mkwe na mchungaji na watu wengine wawili.naombewa niliombewa mnoo muda huo nilikua tu nimekaa japo bado sielewi.,waliomba sana kisha mama mkwe akaniita akasema neria mwanangu abee mama akasema unajiskiaje?nikasema najiskia nafuu kwani nini kimetokea mama?mchungaji akasema aleeluyaaaa,mama mkwe akasema asante Yesu.mwanangu unaweza kuamka nikasema ndio.amka,nikaamka lkn miguu haina nguvu nikakalishwa vizuri mchungaji alianza tena kuomba aliomba mno mm nikahisi kama naungua miguuni nikaanz akupiga kelelee naunguaa naunguua mchungaji na kina mamkwe walikua wanasali mnooo nikaanza ona moto unaisha uoo nikawa powa.waliendelea
0 Comments