NERIA Sehemu ya 22

NERIA Sehemu ya 22

Mwandishi;lissa mwalla Niliskitika niliumia,moyo wangu ulivunjika lkn nikawaza nikasema hapa natakiwa sasa nitumie zile akili za kuzaliwa sasa mana nisipozitumia hapa hizo akili nitapoteza kila kitu.nilitulia kimya tu nikajiwazia hapa nikipaniki ndio nitaonekana mm nina matatizo ya akili kweli kw aio nikaomba Mungu anipe uvumilivu.baada ya kusoma lile shauri na maelezo kibao akapewa nafasi yeye sasa kujieleza.akasema huyu mwanamke mbele yenu ndie nilizaa nae wakati akiwa na akili timamu kabisa,lakini alianza jishugulisha na mambo ya kishirikina ndipo akili ilimruka na kuanza hadi kugombana na familia yake na siku moja tukiwa tumelala alinikaba na kutaka kabisa kuniua akiwa mjamzito.mimi sikuwa najua

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments