
Mwandishi;lissa mwalla Mmh huyu si aende sasa jamani mbona haondoki?namuangalia ndo kwanza kapandisha miguu juua ya sofa anaangakua tv et mpira heee,haoneshi hata kuomba lasket yake jamni khaaa.nikaanza kusinzia mm nilijichokea.yeye hana habari,nikastuka nikasema bab milka mm nataka kulala nimechoka.akasema kalale mm naangalia mpira hapa kwanza.mmh majibu yake mbona kama hayaoneshi kuondoka?wazo likanijia nisije lala nikaamka wanangu hawapo bure si alitaka wachukua na kusingizia nina ugonjw awaa akili huyu eeh Mungu nisaidie nisilale.nikasema sawa ww je huendi kulala?akasema nitakuja.nikasema hee utakuja wapi?akasema neria hilo ni swali la kuniuliza mimi hilo?niakasema unajua sana kwa nini nakuuliza usijifanye hujui nauliza wapi unakuja?akasema
0 Comments