
Mtunzi....................Zooper ILIPOISHIA........... "Wewe ni mwanangu lakini kwa hilo sikubaliana na wewe katisha mazoea na huyo Nestory wako" Mama Lulu aliongea nakuondoka huku akimwacha binti yake kwenye sitofahamu. "Mama amepatwa na nini huyu!?" Lulu alijiuliza......... ENDELEA......... Lulu alibaki njia panda kwa maneno ya mama yake na upande wa Mama Lulu mawazo yake yalikuwa kwa Erick mwanaume aliyewahi kuishi nae miaka ya nyuma. "Kwanini namuwaza sana Erick huku alinifanyia ukatili wa kunikimbia na kuniacha peke yangu!?" lilikuwa ni swali alilokuwa akijiuliza Mama Lulu akiwa mwenyewe chumbani. Tutoke huko tuje kwa Paul pamoja na vijana wenzake, walifanikiwa kuipata ratiba ya mheshimiwa Rais baada ya
0 Comments