
Mtunzi....................Zooper ILIPOISHIA......... "Huyu mwanamke naona hanijui vizuri na bahati nzuri mama yake kaniambia kila kitu" Carlos aliongea akiwa ni........ ENDELEA......... Akiwa kwenye mawazo mda huo alifika jambazi mwenzake. "Vipi una tatizo gani!?" "Kuna mwanamke hapa naona hanijui vizuri nampigia simu alafu hapokei simu zangu" Carlos aliongea. Rafiki yake ilibidi amtulize na kumsihi ashushe hasira zake. Upande wa Nestory ilibidi amuulize Lulu kwanini hapokei simu!?, Lulu hakutaka kumwambia ni nani aliyekuwa akimpigia zaidi ya wao kuendelea na story zao. Asubuhi na mapema ilifika Nestory alimuaga Lulu na kuondoka, akiwa barabarani aliweza kupishana na gari ya Carlos na kwakuwa walikuwa hawajuani kila mtu
0 Comments