
CAREEN Sehemu ya 1 simulizi za dr john Simulizi za john @topfans Wsp 0789824178 Full 1000 Kwa majina naitwa Careen Johnson Filbert, mimi ni mtoto wa 2 katika familia ya watoto 2, yaani mimi ni wa mwisho kuzaliwa. Wa kwanza ni kaka yangu anaitwa John, ndiye anayefuata mimi sasa. Mimi ni mchanganyiko wa rangi, baba yangu ni mzungu halisi ila mama ni mlangi wa Kondoa, Dodoma. Nilikua mzuri wa sura sana, ile umbo sikuwa nayo hata, yaani mimi nilikua mwembamba sana. Katika familia yetu, mimi nilikua kipenzi cha baba sana na kaka John ni kipenzi cha mama, yaani tuligawana. Mimi
0 Comments