
Basi nikamchungulia ππππππππnilivoona kaondoka mie huyo nikaanza kucharaza kwatoo kuelekea kwenye chumba cha gizaa changu miee huku nikinua nna milioni mbili kwa simu haloooπ€£π€£π€£π€£boss mimi hunambii kitu mie Basi njiani nikatoa afu ishirini nikanunua nyama kilo mbiliii na vikolokolooo nyama zenyewe zile ngumuuu zile kama tako la mbuzi mzee zile za kilo afu tano bei ya jioniiπ€£π€£π€£ Nikqrudi zangu geto kama kawaida yangu majirani zangu ndio udugu wangu sina baya sina kona sina dhambi wala roho ya chuma cha kuning'inizia nyama buchaniπ€£π€£π€£π€£ Majirani zanguuuuuuuu!!!!!!!!!majiraniiiiiii!!!!!!nawaita mara tatuuuuuuuu ya nne hairudiwi wala haisomwiiii Twaja dada kibogaaaa weeeeeeeh wakaitikaa hao baada ya muda
0 Comments