
CAREEN – SEHEMU YA 12 Mwandishi: Maramoja the Great 0789 824 178 Simulizi za john Full 1000 Nikabaki pale na huku story zinaendelea mpaka akasema, “Careen ni time ya kwenda kupumzika, umekuja na usafiri?” Nikasema, “Yes nina usafiri,” ila nilitamani nisengekuwa nao ili niwe na yeye tu. Alitaka kunirudisha home ila ikashindikana kwa kuwa kila mtu alikuwa na usafiri wake. Tukatoka wote mpaka nje, akachukua namba yangu ya simu, akanibip, akasema hiyo ndiyo namba yake. Nikasema “Poa.” Tukaagana, nikaenda kupanda gari yangu. Ila yake ilikua kali mnooo! Asee, huyu kaka alinivuruga mnooo, sijui kwa nini nilijikuta nimeanza kumzimikia vibaya. Yani
0 Comments